Tigo mbona mnafanya vitu vya kijinga

Tigo mbona mnafanya vitu vya kijinga

rovita

Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
17
Reaction score
7
Kuna kamtindo kamezuka siku hizi, unafungiwa line Yako and then ukiwapigia wanakwambia line Yako inadaiwa fedha, wakati hujawahi kopa Hela yoyote.... Plz ushauri au nani kakutana na kitu kama hicho.
 
Back
Top Bottom