rovita Member Joined Jul 11, 2023 Posts 17 Reaction score 7 Nov 14, 2023 #1 Kuna kamtindo kamezuka siku hizi, unafungiwa line Yako and then ukiwapigia wanakwambia line Yako inadaiwa fedha, wakati hujawahi kopa Hela yoyote.... Plz ushauri au nani kakutana na kitu kama hicho.
Kuna kamtindo kamezuka siku hizi, unafungiwa line Yako and then ukiwapigia wanakwambia line Yako inadaiwa fedha, wakati hujawahi kopa Hela yoyote.... Plz ushauri au nani kakutana na kitu kama hicho.