TiGo mbona mnatutesa au Mafisadi wamewaingilia

TiGo mbona mnatutesa au Mafisadi wamewaingilia

NgomaNzito

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Posts
559
Reaction score
28
Mtandao wa Kampuni ya TiGo haufanyi kazi tokea asubuhi wana tatizo gani au mafisadi wamewaingilia kuwakwamisha kwakuwa ni mtandao wa bei nafuu watueleze mapema kabla hatujahamia kampuni nyingine!!!!

Wengine sisi biashara tunayoitegemea kuishi ni kwa simu ya mkononi mtandao huohuo?
 
kamlaumu aliekunyima visa!!!
 
njoo ushobokee mabox tigo wamechoka hao
 
Mhhh !! Hapa naona kuna ushindani wa biashara!! Kuna thread moja si muda ilikuwa inalalamikia voda, sasa naona yule aliyeitwa 'PR' wa kule naye amekuja na hii kwa style tofauti. Mimi mbona tangu asubuhi natumia Tigo bila wasi wasi? Nimepiga na kupigiwa na mitandao tofauti na hakuna shida. Sijui, maybe.... !!
 
kamlaumu aliekunyima visa!!!

Kupata VISA ishakuwa dili siku hizi...|watu wote ambao wanabeba mabox ni wale wale wasiojiweza na Elimu duni!

Ulaya siyo sehemu ya kukurupukia,nilishawahi kukutaa na mtoto wa bosi wangu wa zamani Manchester akifanya kazi ya kuosha vyombo!

upuuzi mtupu
 
Mkuu mbona hapa town tiGo tunapeta kama kawa tunalonga kwa sh.1/= 24hrs.
We mwenzetu upo pembeni ya mji nini?
 
Mtandao wa TIGO unafanya Kazi kama. Wewe simu yako ndio yenye matatizo.
Mimi hapa ndunda na TIGO kama kawaida
 
Hatimaye wamefungua ila leo tuimeipata fresh

TiGO wakati wa mwaka mpya waliboa ile mbaya, kanda ya Ziwa hususani Mwanza TiGO ilikata kuanzia saa 4 usiku 31st Dec hadi 1st Jan 09 mishale ya saa 6 mchana. Sijui wanazidiwa ama ni ufisadi umewaingilia?
 
Back
Top Bottom