Tigo mmefeli na promosheni yenu ya SakoKwaBako

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
651
Hii promosheni kwangu naona haina maana yoyote

Yani nanunua MB kisha unaniongezea MB nyingine kidogo za bure halafu unanibana kwamba nitumie tu kwa Whatsapp is not fair

Kulikua na ulazima gani kumuongezea mtu MB halafu unampangia wapi pa kuzitumia

Mwanzoni wakati mnapigia promo hii promosheni nilidhani mnakuja na kitu cha maana kumbe hamna lolote

Jirekebisheni
 
Jirekebis

Nakazia HAINA MAANA YOYOTE 🔨
 
Kwanza ubunifu wa neno sokokwabako ni wa kipuuzi. Nani anaelewa neno hilo? Mtu mmoja anakaa na kufikiri kisha anaibuka na msamiati usioeleweka na kuwapa shida watangazaji kuelezea maana yake. Huo msemo haujapamba wabuni mwingine
 
Eti sakokwabako, sijui ndio kiswahili gani hiki! Hili neno limebuma halijapokelewa vema wakabuni lingine, ubunifu huu umefeli
 
Back
Top Bottom