Tigo mmekuwa unreliable

Tigo mmekuwa unreliable

souljar

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2021
Posts
854
Reaction score
1,831
Habari wana Jf, nadhani kuna tatizo upanda wa Tigo especially Tigo Pesa ndani ya miezi miwili haiwezikana huduma za Tigo pesa ziwe zinashida, tatizo liko wapi? Kama ni watu wa IT badilisheni au kama ni mitambo ya zamani badilisheni.

Hivi mnatambua kama kuna watu wanatumia tigo pesa kama wallet sasa yanapojitokeza haya mnatoa msaada gani zaidi ya majibu yenu marahisi ya kuwa samahani kuna tatizo la kiufundi huduma itarudi ndani ya masaa 24. Whats a fukn joke, yani nisubiri masaa 24 as if shida zangu zitasubiri mpaka hayo masaa 24?

Mnatukosea sana wateja kama mmeshindwa kuja na backup plan ya kutatua hili tatizo basi mje na emergency plan ya kusolve wateja wenu wapate hela yakijitokeza haya.

Kuna njia kadhaa za kufanya wateja wenu kusolve tatizo la kifedha nitakuwa tayari kuwasaidia kama consultant.

"MAN OF NO FEAR, 8 YEARS IN THE BUSH WITH NO SICK REPORT"
 
Wamekuwa ovyo sana, sijui ndio sabotage imeanza.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Mkuu jana nilimtumia jamaa mmoja pesa ya Material Dukan kwake ajabu ni kwamba anasema hajapata muamala, nimekua nahangaika toka jana na Tigo wako kimya hawatoi taarifa, wakiitwa Nyamwazi wanakasirika
 
SimBanking kupitia mtandao wa Tigo iko very unreliable. Sijui shida ni nini.
 
Habari wana Jf, nadhani kuna tatizo upanda wa Tigo especially Tigo Pesa ndani ya miezi miwili haiwezikana huduma za Tigo pesa ziwe zinashida, tatizo liko wapi? Kama ni watu wa IT badilisheni au kama ni mitambo ya zamani badilisheni.

Hivi mnatambua kama kuna watu wanatumia tigo pesa kama wallet sasa yanapojitokeza haya mnatoa msaada gani zaidi ya majibu yenu marahisi ya kuwa samahani kuna tatizo la kiufundi huduma itarudi ndani ya masaa 24. Whats a fukn joke, yani nisubiri masaa 24 as if shida zangu zitasubiri mpaka hayo masaa 24?

Mnatukosea sana wateja kama mmeshindwa kuja na backup plan ya kutatua hili tatizo basi mje na emergency plan ya kusolve wateja wenu wapate hela yakijitokeza haya.

Kuna njia kadhaa za kufanya wateja wenu kusolve tatizo la kifedha nitakuwa tayari kuwasaidia kama consultant.

"MAN OF NO FEAR, 8 YEARS IN THE BUSH WITH NO SICK REPORT"
Pia sasa hivi kama huweki muda wa maongezi ukipigiwa simu inaonyesha haipatikani, nimejaribu kuwapigia tigo lkn jambo wanachojieleza hakieleweki.
 
Back
Top Bottom