Hata Mimi ziliniboa huwezi soma post Kwa raha nakukomentHuku msg za tigo,huku JF snows zilikua zinaanguka full kuumiza macho.
Hawa wajinga ukiblock hivi wanakuja hivi
limeblock zote hivyo-hivyo, naona kumetulia, sioni SMS ya Tigo yoyote ileHawa wajinga ukiblock hivi wanakuja hivi
Mimi imebidi kuliweka pembeni hilo line lao lipumzike mi si uwanja wa matangazolimeblock zote hivyo-hivyo, naona kumetulia, sioni SMS ya Tigo yoyote ile