Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Tangu jana mpaka muda huu nimepokea meseji 69 za matangazo ya cha asubuhi, huu ni usumbufu kwetu watumiani wa mtandao wenu, Itoshe kuwaambia hali hii ikiendelea baadhi yetu tuna suspend line zenu zinakuwa za kupokelea tu simu.
Tutajaza salio kwenye line za mitandao ya kiistarabu kwakuwa mmekuwa wajinga hamsikii wala kuelewa malalamiko ya wateja wenu, zingatieni kwamba hizo meseji zinadraw attention ya watumiaji wa simu wakidhani kuna jambo la muhimu wanaacha kazi kumbe ujumbe wa kipumbavu kabisa