tiGO mnanikwaza sana

tiGO mnanikwaza sana

Nime recharge kifurushi hapa nicheki balance naambiwa niko na 3 GB za Boomplay ...

Boomplay itasaidia nini sasa ? Ondoeni huu upuuzi wa kuni convert Mbs zangu na kuzifanya za Boomplay
Umerecharge shilling ngapi na ukajiunga kifurushi gani?
 
Nime recharge kifurushi hapa nicheki balance naambiwa niko na 3 GB za Boomplay ...

Boomplay itasaidia nini sasa ? Ondoeni huu upuuzi wa kuni convert Mbs zangu na kuzifanya za Boomplay
Kwamba Mb zako ulizonunua kwa pesa yako wanazigawa zingine zinakua za Boomplay?
 
Mie juzi Kati hapa imetokea nmerecharge ili niweze kuaccess huduma za kibenki (sim banking), wakati naanza tu Ile menu ikawa inagomagoma, hata sikuweza kufanya nilichodhamiria, nilipocancel tu ili nianze upya kuingia kwenye menu, naambiwa et sina Salio la kutosha na huku nmeweka mia tano nzima na nmeingia mara moja Tu kwenye menu, kama haitoshi nikarecharge Tena, mambo yakawa ni yaleyale..

Nilipowapigia simu wakasema kweli Kuna shida kwenye huduma za kibank na hivyo watarudisha pesa yangu (vocha) lakn mpaka hivi Leo haijawahi rudishwa.

My take: Tigo umekuwa mtandao wa wizi na hauridhishi kihuduma, wajitafakari ama sivyo watapoteza wateja aidha kuburuzana na watu mahakamani...
 
Back
Top Bottom