Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Asubuhi hata hatujanywa chai, sms inaingia "Kopa Simu"
Mchana hata sijaenda kula ugali kwa mlenda na dagaa wenye pilipili kali sms inaingia, Kopa Simu.
Usiku najiandaa kubaiolojika, sijaanza mambo vizuri unasikia sms ukiifingua, Kopa Simu.
Tigo na Zantel Mnatuchosha jamani, sms zenu za" Kopa Simu" zimekuwa kero kwetu.