Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Yaani ni utopolo kweli, net iko slow sanaWajinga sana na intarnet yao mbovu
Yani siyo hiyo tu.. kifupi sms zisizo na reply option zimekuwa nyingi mnooo... Kero keroo...Asubuhi hata hatujanywa chai, sms inaingia "Kopa Simu"
Mchana hata sijaenda kula ugali kwa mlenda na dagaa wenye pilipili kali sms inaingia, Kopa Simu.
Usiku najiandaa kubaiolojika, sijaanza mambo vizuri unasikia sms ukiifingua, Kopa Simu.
Tigo na Zantel Mnatuchosha jamani, sms zenu za" Kopa Simu" zimekuwa kero kwetu.
Namna ya kuwablock sasaWablock tu
Nilishawablock hao, VODA JAMAA, VODA TAARIFA, sijui VODA BIMA na takataka zingine.
Ni kweli mkuu kama kuna namna ya kuwashtaki nipo tayari kuwa shahidi. Jamaa wanakera sana na SMS zao. Hizo za PATAPATA nimewahi kuwaomba wasinitumie ndio zikaanza kuingia kwa wingi. Wanakera sana.Hivi hakuna namna ya kuwashtaki? Niliwapigia simu zaidi ya mara 10 kuwa sitaki kuona patapata kwenye simu yangu lakini bado tu meseji zinakuja. Na sasa hivi wameongeza kopa simu. Wataalamu wa sheria toeni shule hapa ili kama kuna uwezekano wa kuwashataki baada ya kuwataarifu kuwa sizitaki meseji zao kwenye simu yangu halafu wanaleta ukaidi.
Tigo ni tigo tuWajinga sana na intarnet yao mbovu
Washafanyia kaziAsubuhi hata hatujanywa chai, sms inaingia "Kopa Simu"