Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Ukiweka menu ya simu banking utashangaa unasearch halafu inaandika transaction failed(inashindwa kukuunga na mfumoi wa benki). Ukija kuangalia salionunakuta mia yako imefyekwa.
Utasema labda mtandao ulikuwa mbovu nijaribu tena, mia nyingine inaenda. Kwanini mnakata pesa bila kutoa huduma? Huo ni wizi.
Utasema labda mtandao ulikuwa mbovu nijaribu tena, mia nyingine inaenda. Kwanini mnakata pesa bila kutoa huduma? Huo ni wizi.