Jamaa ni weziUkiweka menu ya simu banking utashangaa unasearch halafu inaandika transaction failed(inashindwa kukuunga na mfumoi wa benki). Ukija kuangalia salionunakuta mia yako imefyekwa.
Utasema labda mtandao ulikuwa mbovu nijaribu tena, mia nyingine inaenda. Kwanini mnakata pesa bila kutoa huduma? Huo ni wizi.
Upigaji wa mchana kweupe.Hili limenitokea juzi tu nikiwa na mtandao mwingine...buku iliisha bila kupata huduma yoyote. Kuna muda network ina fail unarudia tena..muda mwingine unaipata halafu inakatia njiani. Nikahitimisha kuwa huu nao ni upigaji wa namna nyingine.
Sometimes unaweza kuwa mazingira ambayo hakuna wakala...au ni usiku mnene wamefunga na wewe unahitaji huduma muda huo.Kwani hio huduma huwezi kuipata kwa wakala physically? Mpaka ukomae na hao SimBanking?
Kama ni kwa emergency hamna tatizo!Sometimes unaweza kuwa mazingira ambayo hakuna wakala...au ni usiku mnene wamefunga na wewe unahitaji huduma muda huo.
Daaa Bora umetusemea mengi unakataje pesa wakati huduma ijakamilika huu sio wizi tuu bali ni ufisadi na ukandamizaji kwa wananchi .Nadhani huu kuna viongozi watatusaidia kufikisha sehemu husikaUkiweka menu ya simu banking utashangaa unasearch halafu inaandika transaction failed(inashindwa kukuunga na mfumoi wa benki). Ukija kuangalia salionunakuta mia yako imefyekwa.
Utasema labda mtandao ulikuwa mbovu nijaribu tena, mia nyingine inaenda. Kwanini mnakata pesa bila kutoa huduma? Huo ni wizi.
Nakifanya kiburi itabidi wafungulie madai ya kukata malipo ya huduma huku huduma yenyewe hujapata.So wahusika mlifanyie kazi msije kuwa mnafurahi now baadae mwaweza kulia maaana siku hizi mambo yamebadilikaUkiweka menu ya simu banking utashangaa unasearch halafu inaandika transaction failed(inashindwa kukuunga na mfumoi wa benki). Ukija kuangalia salionunakuta mia yako imefyekwa.
Utasema labda mtandao ulikuwa mbovu nijaribu tena, mia nyingine inaenda. Kwanini mnakata pesa bila kutoa huduma? Huo ni wizi.
If that so...sihitaki hyo huduma tena!naitoa kwa simu yangu inakera sana..wanakata pesa then huduma hakunaHili limenitokea juzi tu nikiwa na mtandao mwingine...buku iliisha bila kupata huduma yoyote. Kuna muda network ina fail unarudia tena..muda mwingine unaipata halafu inakatia njiani. Nikahitimisha kuwa huu nao ni upigaji wa namna nyingine.
Thank you kesho nahamia airtel aseehh!!!Mnaotumia simbanking kupitia tigo hamieni aitel ni bure kwa bank za NMB CRDB na nyingine isipokuwa KCB