TiGO mnatukwaza wateja kuweka matangazo tunapopiga simu

Mucho Mucho

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
245
Reaction score
256
Toka juzi tukipiga simu mnaweka matangazo then ndio muito wa simu unafuata, hatujapiga kusikia matangazo, what if napiga simu kwa doctor kama imetokea dharula?,what if nimevamiwa nataka msaada kwa haraka?

Fanyeni utaratibu mzuri, tunawapenda ila mnakwaza.
 
Toka juzi tukipiga sim mnaweka matangazo then ndo muito wa sim unafata,hatujapiga kusikia matangazo,what if napiga sim kwa doctor kama imetokea dharula?,what if nimevamiwa nataka msaada kwa haraka? Fanyeni utaratibu mzuri,tunawapenda ila mnakwaza.
KERO KERO KERO

Halafu wanaweka tu bila concern ya mteja...

Wanasema eti oooh rasimisha na uhakiki usajili kupitia namba za NIDA, sasa namba yangu moja nimeshasajili kitambo na kadi ya NIDA na ilishahakikiwa kuna haja gani ya kuniambia nirasimishe na kuhakiki tena? What the F.
 
Wanazingua sana hawa jamaa
 
Shida mtindo mmoja
Toka juzi tukipiga simu mnaweka matangazo then ndio muito wa simu unafuata, hatujapiga kusikia matangazo, what if napiga simu kwa doctor kama imetokea dharula?,what if nimevamiwa nataka msaada kwa haraka?

Fanyeni utaratibu mzuri, tunawapenda ila mnakwaza
 
Back
Top Bottom