Mucho Mucho
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 245
- 256
KERO KERO KEROToka juzi tukipiga sim mnaweka matangazo then ndo muito wa sim unafata,hatujapiga kusikia matangazo,what if napiga sim kwa doctor kama imetokea dharula?,what if nimevamiwa nataka msaada kwa haraka? Fanyeni utaratibu mzuri,tunawapenda ila mnakwaza.
Wanazingua sana hawa jamaaKERO KERO KERO
Halafu wanaweka tu bila concern ya mteja...
Wanasema eti oooh rasimisha na uhakiki usajili kupitia namba za NIDA, sasa namba yangu moja nimeshasajili kitambo na kadi ya NIDA na ilishahakikiwa kuna haja gani ya kuniambia nirasimishe na kuhakiki tena? What the F.
Sana aiseeWanazingua sana hawa jamaa
Toka juzi tukipiga simu mnaweka matangazo then ndio muito wa simu unafuata, hatujapiga kusikia matangazo, what if napiga simu kwa doctor kama imetokea dharula?,what if nimevamiwa nataka msaada kwa haraka?
Fanyeni utaratibu mzuri, tunawapenda ila mnakwaza