Kinachoshangaza zaidi ni kwamba hizi systems zinaruhusu customization, kwamba watu wa opt in or out of receiving religious messages, na messages za dini gani, au watu wa opt in or out of automatically notifying callees of their credit status etc.
Lakini watu wana install systems out of the box, hata hawaweki customization.Worse still watu hawa demand customization.
Ingekuwa nchi nyingine unatuma jumbe jumbe za kidini watu wengine hatuamini mambo ya dini, tunakupiga lawsuit ya harassment na psychological torture, claiming millions of dollars if only to teach a lesson and set precedents.
Inatakiwa bongo tuanzishe system hii.