Seriously,...
maisha yamepanda kiasi hiki?
Hadi tiGO mtandao ulio kuwa kimbilio la maskini saivi
kupiga simu kwa sekunde ni Tsh.3.25?
Kwanini hamtoi matangazo kwamba gharama zimepanda?
kwanini muendelee kusema "tumerudi tena" au maana yake ni
mmerudi kutu nyanyasa?
Mbona hampokei simu?
Acheni wizi bana,sio fair hata kidogo.
Mbona nasikia watu wameshazitupa hizo line za huo mtandao.....tiGO kwenda tiGO Tshs 200 - mpaka 230 kwa dakika moja, wakati Voda kwenda Voda ni Tshs 165 kwa dakika moja wakati Zantel kwenda Zantel ni Tsh 162 kwa Dakika Sita (6).
Tupilia mbali kama wengine walivyofanya
Kampuni ya simu ya TIGO ni majambazi. Hawa jamaa ni Roba ya mbao.
TIGO phone company are Robbers.......They are robbing poor Tanzanian public. We are going to mobilize Tanzania public to AIRTEL or Zantel. In two minutes TIGO charged me Tsh. 3,000/=. Throw way their sim card if you do have any........Just like VODACOM
Ila kuwa makini, ukijiunga na huduma ya Highlife ili kuinganisha na Moderm kupitia hiyo line, ikatokea unampigia mtu yaani Zantel kwenda Zantel watakukata 250 kwa dakika moja.nahamia Zantel rasmi.
Yaani wana kula hela kama hawana akili nzuri vile,..
too bad hata ukipiga simu customer care hawapokei....
Sasa kila sekta naona inaiba kulingana na uwezo wake,...its time
kuhamia airtel.
Kuiba wanaiba na bado kodi hawalipi
Mbona nasikia watu wameshazitupa hizo line za huo mtandao.....tiGO kwenda tiGO Tshs 200 - mpaka 230 kwa dakika moja, wakati Voda kwenda Voda ni Tshs 165 kwa dakika moja wakati Zantel kwenda Zantel ni Tsh 162 kwa Dakika Sita (6).
Tupilia mbali kama wengine walivyofanya
Jiungeni na tigo pesa kule ukinunua salio unapewa na dakika za bure ukinunua buku 3 unapata dk 19 za bure acheni kulalamika kama dagaa!!
Tulia na tiGO acha kuhangaika ukihama utarudi tu, kwa kifupi tigo wanadesturi ya kutoa ofa za kipindi maalum na sio za kudumu kwasasa ofa ya salio mara mbili imekwisha ukirudi mitandao mingine ndio wezi kabisa nakushauri tafuta handset ya line 3 utajaza voucher kwenye mtandao ambao utakuwa na gharama nafuu kwa kipindi hicho mingine utakuwa unapokea tu.Sasa basi mtupe data, mtandao upi unafaa basi, kwa unafuu?