acheni uongo bana, ngoja niwape data za ukweli...ni kweli tigo ni ghali lakini ndo cheapest off all kwa sasa
tigo wanachaji sh 1.3 kwa secunde kuanzia saa moja asbh mpk saa 11.59 jioni, baada ya hapo 12 mpaka saa 4.59 usiku
ni sh 1.8 kwa sekunde, ikifika saa 5 usiku mpaka majogoo ni bure baada ya dakika ya tatu.
hao voda na airtel ndo chanzo cha tigo kupandisha bei, wao wanachaji 2.5 kwa sekunde full time.
airtel na voda wapo kwenye crisis nzito, wafanyakazi wao wanaacha kazi kila kukicha wanahamia tigo, voda wamefutiwa overtime zote
na airtel wamepunguziwa perdiems kutoka elf 80000 mpaka elf 30000 ma-engineer wao wanaacha kazi kukimbilia tigo
so hizo accusatiions mnazozitoa hazina mashiko. fanya mahesabu mwenyewe utaamini nachosema. piga simu angalia duration
na ulivochajiwa then calculate utagundua nachosema ni kweli au uongo.