Tigo ni shida!

Chabo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
1,093
Reaction score
1,154
Sina haja na salaam,(nina hasira).hivi nyie tigo...wenzenu wanakazana kuongeza vifurushi nyie mnapunguza,sasa kabla sijawahama rudisheni kile kifurushi cha kupiga mitandao yote cha dk 12 fasta.
 
na wameleta ile mivoucher yao iliyoandikwa futa taratibu, midude ile atauifute huku unaipuliza lazima utafuta namba moja au mbili, hawa jamaa sasa wamekuwa ovyo bhana
 
Tukianza kuelezea matatizo ya huu mtandao, tunaweza tukachukua mwez mzma na tusimalize..
Kero ni nyingi sana..
 
hawa jamaa Tigo ovyo kabisa.nilikuwa na megabite kibao za internet ile kujaribu kuangalia hotuba za bunge maalum kwa youtube ni baraha tupu.yaani unaweza kukaa saa nzima hakuna kitu inadownlord tu cha kushangaza zaidi nilikuwa town karibu zaidi na uduma zao yaani baraka kabisa kwetu gongo la mboto ndiyo hakufai kabisa na pia unaweza kumpigia cmu mtu .unaambiwa cmu haipatikani na wakati huo cmu ipo on na upo naye karibu nikajaribu kuweka line ya Airtel ya mdogo wangu.yaani mpaka raha.yaani inakela kabisa tigo jaribuni kujirekebisha na boresheni uduma zenu.na mpango niwakimbie.
 
Afu awa jamaa sijui ni mamwinyi maskini ws fikra..yani kahama,kigoma,sumbawanga,mpanda,bukoba mpaka leo hamna 3G.watu kibao wana smartphone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…