Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 51
Kwa kutumia hizo 'hisabati' zako unataka kuniambia bei ya kupiga simu Tigo bado ni shilingi 1 (kwa sababu 0.5 is approximately 1)? Kama ni hivyo why the hell should they shout thumuni, thumuni? Be careful with maths my friend😀!
internet wameiga sasa wakimaliza na sumuni wanaleta video call je wengine mupo hapooooooo
Naomba jibu sahihi la hii hesabu 0.5(thumuni) + 0.5(thumuni) = Voda na kampuni nyingine.
Mtu akikwambia anatoa 0.5 kwa dk kwahiyo ukipiga dk2 ni sawa na Voda?? au ni Approximately??
Hawa jamaa wa tigo ni wafanyabiashara wazuri sana, so far sijawa na uhakika kama wanawasaidia watanzania au la