Tigo pesa kichaka cha rushwa

MJIMPYA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
506
Reaction score
272
Tigo wamesitisha kutoa line za uwakala wa tigo pesa (TILL) kwa muda mrefu sasa, hata walioomba July mpaka leo hakuna jibu.

Matokeo yake ukienda kwa wakala mkuu wanakwambia toa laki 6, wengine laki 3 ili upate hiyo line.
Wengine vijana wamejifanya staff wa tigo na wanatapeli watu kwa kuchukua ela na kudai watawapatia hizo line na mwishowe hawatoi.

Tigo acheni kuchochea rushwa toeni till
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…