Kwani kwa voda na airtel huduma zao kamisheni inafanyikajeKwa voda na airtel hakuna tatizo..tigo hatapata kamisheni yake ya mwezi kwa kuwa huthibitishwa na wakala wake mkuu wa eneo husika..
Mkuu hebu fafanua hapo, faida kivipi, na kamisheni inakuwaje maana kwa tigo kuna mdau hapo juu kachangia haitopatikanainawezekana kutumika pengine tatzo litakuwa ktk mambo ya faida
Vipi kuhusu flot na kamisheni kwa line zote tigo na voda.Naomba ufafanuzi hapo mkuu.Inawezekana 100% tenaa bila usumbufu wowote.Mimi shuhuda halisi.
Yaani hakuna tatizo lolote kuhusu kamisheni wala float.float unaweza kuomba kwa wakala yeyote au kuniingiza kupitia benk.Vipi kuhusu flot na kamisheni kwa line zote tigo na voda.Naomba ufafanuzi hapo mkuu.
Hiyo kamisheni anayekulipa ni wakali yupi au inatoka huko kwa wenye line kwa mitanso yote voda na tigo, Nashukuru sanaila naomba na jibu hapoYaani hakuna tatizo lolote kuhusu kamisheni wala float.float unaweza kuomba kwa wakala yeyote au kuniingiza kupitia benk.
Hao wenyewe watakutumia msg Mara kwa Mara kukufahamisha wakala mkuu wako wa mkoa uliamia.wewe usiwe na shaka.kila kitu ni rahisi tuuh mbona.Hiyo kamisheni anayekulipa ni wakali yupi au inatoka huko kwa wenye line kwa mitanso yote voda na tigo, Nashukuru sanaila naomba na jibu hapo