Hii MIXX by Yas muda mwingi huduma haiko hewani. Hapa nataka kununua umeme (LUKU) lakini kila nikijaribu naambiwa muamala umesitishwa, pesa zimerudishwa kwenye akaunti yako.
Jana nilikuwa mahali napata kinywaji na huwa napenda kulipa kwa simu kupitia huduma ya LIPA NAMBA nataka kulipa nakuta huduma haipatikani. Hovyo kabisa.