Tigo post paid inakera

Tigo post paid inakera

MASSOUD AHMED

Member
Joined
May 8, 2022
Posts
15
Reaction score
7
Hii huduma ya Tigo post paid ni kero, mawakala wanaowapa kazi waunganishe watu hawawaambii wateja vikwazo vilivyopo, wanakuunga kwa group la watu usiowajua.

Akitokea mmoja hajalipa na kaacha kutumia laini mnahukumiwa nyote, is not fair na inakera sana mpka tunafkiria kuhama mtandao wao.
 
Duuuuu kumbe ndo hivyo, nilitaka nitafute wakala aniunge kumbe ni majanga
 
Vp ulifanikiwa kujiondoa, mimi nilikuwa sijui ndio wameniambia eti nilikuwa kwenye kikundi sijui kwahiyo tunadaiwa, wanenikera sana kwakweli manake sasa hivi line yangu haipati huduma yoyote.
 
Back
Top Bottom