Vigezo vya kupewa huduma
1. Nida ID au namba ya nida
2. Tin certificate au Tin namba
3. Email
4. Pesa ya security deposit (Pesa ya dhamana) mfano unataka kifurushi cha ef40 unalipa ef40 kama dhamana
MUHIMU
Dhamana hii haumpi mtu unailipia kwenda TIGO nakuelekeza jinsi ya kulipa alafu unanitumia udhibitisho wa malipo
KIZURI ZAIDI
Nakufanyia activation ya huduma hii buuure kabisa popote ulipo
wa.m/
+255765991551