PgSoft2008
JF-Expert Member
- May 15, 2008
- 264
- 73
wapendwa,
Nimekuwa iringa kwa wiki sasa, kitu kinachoniboa ni kwamba kila ifikapo jioni network ya tigo imekuwa ikisumbua. huwezi piga wala kupokea simu mpaka usiku sana. initially nilifikiri ni matatizo ya muda mfupi tu ila sasa nimejua kwamba ni serious issue.
inaonekana kana kwamba mitambo imekuwa saturated na haiwezi kuhudumia idadi ya customer waliopo hasa wakati wa jioni.
for the sake of retaining customers can they do something as we are all fed up.
nwakilisha.

We acha tu TIGO ni bongo tu! sehemu nyingine ni noma sijui kama hawaijui hii naamini wanafahamu wameambiwa ili hawatekelezi sijui kwanini labda watupe sababu.Ukiwa mwanza hauwezi kutumia internet ya Tigo,Ukiwa tarime hivyohivyo msoma pia.
Ili tatizo limeikosesha tigo mshiko mrefu mno maana kama mimi binafsi nilishindwa kuvumilia nikanunua line ya voda mpaka nilivyotoka huko ndo nikarudisha tigo.
Wajirekebishe nafasi wanayo.Waige voda mbona voda na zain wanaiga mambo mengi kutoka tigo ,Kwanni tigo wananini?
I see... That's interestingUnaweza kutoa namba yako ya simu na useme ulipokwepo customer care wa tigo atawasiliana na wewe muda si mrefu
Unaweza kutoa namba yako ya simu na useme ulipokwepo customer care wa tigo atawasiliana na wewe muda si mrefu
Unachotakiwa kufanya ni kuongea na tigo moja kwa moja bila kupitia hao jamaa wa 100 kwa sababu hao wa 100 wanatoa huduma tu hawajui chochote kuhusu mitandao hii na baadhi ya changamoto zingine , sawa na unavyoenda workshop ya computer unaongea na secretary unategemea nini toka kwake ? Ukiongea na technician atakusaidia na yeye ndio mwenye taarifa nyingi kuhusu kazi na vifaa vyake au sio ?
Ndio kama hivyo
Kweli hapo umesema,hao wa 100, wanakuwa hawana majibu ktk maswali mengi.Nadhani udhaifu upo ktk wafanyakazi wa sehemu husika kwa mfano kama Network ya Manzese inasumbua na wafanyakazi wanaosimamia manzese wanapewa taarifa na hawafikishi sehemu husika(let say makao makuu au kwa Engeneer mkuu wa tiGO) na mwisho wa mwezi wanapewa mshahara basi hapo shida iko kwa wasimamizi wa kituo cha manzese ni wavivu au hawawajibiki*(mfano tu!)
wapendwa,
Nimekuwa iringa kwa wiki sasa, kitu kinachoniboa ni kwamba kila ifikapo jioni network ya tigo imekuwa ikisumbua. huwezi piga wala kupokea simu mpaka usiku sana. initially nilifikiri ni matatizo ya muda mfupi tu ila sasa nimejua kwamba ni serious issue.
inaonekana kana kwamba mitambo imekuwa saturated na haiwezi kuhudumia idadi ya customer waliopo hasa wakati wa jioni.
for the sake of retaining customers can they do something as we are all fed up.
nwakilisha.
Eeenhe jamani hembu tuambieni jinsi yakuwasiliana na tigo moja kwa moja bila kupitia 100. Maana mimi ninakesi yakuliwa vocha zangu bila kutumia yani nikiingiza tu inaliwa kabla hata sijatumia nashangaa tu nikitaka kupiga simu naambiwa salio langu halitoshi kupiga simu natakiwa niongeze sijui!! ndio kuukuza uchumi sijui.
Kwani mtandao gani unashika Tanzania nzima?
Kwani mtandao gani unashika Tanzania nzima?
POSTA kwa kutumia S.L.P.