TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Jamani tahadhari na hatali!
Kwa sasa tigo kumekua tishio,wizi umekisili na mawakala wa tigo-pesa baadhi wameanza kusitisha huduma.kunamchezo unafanywa na customer care wa kitengo cha m-pesa
Hapo penye red, Kama vile umechanganya?
Tulizoea wizi wa bunduki na wezi wanaume (Wakiwezeshwa wanaweza),
hali imebadilika mwizi mkubwa anaitwa fisadi, hakimu wake ni mtukufu sana Raisi, hukumu yake huwa ni urudishe kile ulichoiba, mwizi wa kati huitwa Mjasiria mali yeye anapoiba na akakamatwa huukumiwa na wateuliwa wa mtukufu, hukumu huwa ni kuwapa pasu waheshimiwa sana hao.
Mwizi mdogo huwa ndo hawa wakina lulu, hujitahidi kuiga mbinu za wakubwa zao,lakini sehemu ya fungu huwakilisha kwa wajuu wao.
Kweli Kukusanya usipotawanya, na kuvuna usipopanda = bongo life

Wanajamf leo hii nimepanda zangu mlimani city nikarudisha lain ya Tigo bahada ya ufumlifu wa kutosha nimeachana na kuachana mitandao ya maji taka je wewe
mkuu tumekwisha kama makampuni makubwa yanatuibia wanyonge kirahisi hivi,basi kazi ipoduuh..hii sasa noma...kila kona wizi...lah!!
Tigo ipi kwanza anaongelea?embu tutolee kiwingu hapa!hawa watoto bana!