Tigo Tanzania nini kimewakuta kwenye Pigo Pesa? Tunatuma pesa hazifiki kwa walengwa?

Tigo Tanzania nini kimewakuta kwenye Pigo Pesa? Tunatuma pesa hazifiki kwa walengwa?

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Nilidhani ni mimi pekee yangu lakini niliingia kwenye ukurasa wa Tigo Tanzania Facebook nikaona watu wanalalamika.

Mimi nimetuma pesa kutoka Tigo kwenda M Pesa.

Nikarudishiwa ujumbe muamala umekamilika na pesa imetungwa.

Ila mlengwa akasema haijafika.

Kwanza nikadhani ni utani.

Lakini baadae nikajaribu muamala mwingine kujitumia mimi mwenyewe ikawa vile vile. Tigo kunani?
 
Back
Top Bottom