Nilidhani ni mimi pekee yangu lakini niliingia kwenye ukurasa wa Tigo Tanzania Facebook nikaona watu wanalalamika.
Mimi nimetuma pesa kutoka Tigo kwenda M Pesa.
Nikarudishiwa ujumbe muamala umekamilika na pesa imetungwa.
Ila mlengwa akasema haijafika.
Kwanza nikadhani ni utani.
Lakini baadae nikajaribu muamala mwingine kujitumia mimi mwenyewe ikawa vile vile. Tigo kunani?