Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyoandika utafikiri wewe unaishi kongoM'***** mpaka akili iwakae sawa na CCM yenu.
Nilikuwa nimeweka vocha yangu ya buku 2 ninunue GB 1! Kuingia kwenye Menu ya Tigo tayari mambo yamegeuka, kwasasa kumbe hiyo GB 2000 hupati ata GB 1 yani! Kweli mpk kufikia 2025 tutanunua GB 1 ELFU 5.View attachment 2402511
Hata airtel unaambulia 985mbNilikuwa nimeweka vocha yangu ya buku 2 ninunue GB 1! Kuingia kwenye Menu ya Tigo tayari mambo yamegeuka, kwasasa kumbe hiyo GB 2000 hupati ata GB 1 yani! Kweli mpk kufikia 2025 tutanunua GB 1 ELFU 5.View attachment 2402511
Hili tatizo halikuanza na Nape, limeanza na yule jamaa enzi za JPM aliyeamka akasema 1mb iwe kiasi fulani cha bei toka hapo things have never been the same again.Kabla ya 2021
Makampuni yalikuwa yakishindana kwa kutoa ofa, vifurushi vya bei ya chini sana.
Tatizo lilianza alipopewa NAPE Wizara ihusikayo na TCRA..
Wananchi wakalalamika vifurushi vinaisha mapema...
Makampuni yakabanwa, Serikali ikaamua kupanga bei..
Ikawawekea bei za chini na bei za juu
Hapo ndo tatizo lilianzia, ofa zote
Kuanzia night ofa zikauliwa kifo kibaya sana...
Leo twalilia kilio kilichotokana na kilio chetu
True, airtel ilkuwa 2000 u get 1gb sahiz same 2000 imekuwa 950mbhata airtel wameshusha eti 1000 mb480 alafu bila 3000 hupati gb1 alooo!
Upo sahihi sipo Bongo .... Ni mwendo wa Wifi tu kwa gharama nafuu huku nilipo.Ulivyoandika utafikiri wewe unaishi kongo