Tigo ukitaka kujiunga sms tupu unatumia menu gani aisee...?

Tigo ukitaka kujiunga sms tupu unatumia menu gani aisee...?

MzaramoTz

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
1,850
Reaction score
3,041
Wadau wote salaam.

Naona kuna mabadiliko kwenye menu za vifurushi vya tigo yamefanyika siku mbili tatu hapa nyuma.

Sasa katika pitia pitia zangu katika hizo menu mpya mbona sioni package ya sms tupu wakuu...?

Mwenye kufahamu naomba anijuze wadau. Thanks.
 
Jmaa wamevuruga vifurushi khatari .vingine vinapatkana kuanzia saa 4 ucku mpaka alfajiri ,Sijui wanataka tulale saa ngapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom