Kampuni ikiuzwa hujui kuwa management hubadilika? Mfano unenunua nyumba yenye wapangaji kwa hiyo mwenye nyumba anatakiwa kuendelea na cheo chake cha kukusanya kodi kwa wapangaji?Kumbe baada ya mwaka 2019 walipoona kuna kesi imefunguliwa wakamuuzia Rostam Aziz akijiona yeye mwamba. Na mwezi wa April mwenyekiti wa millicon kajiuzulu kaona aibu itamkuta
Kampuni ya TIGO imesema haihusiki na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Antipas Lisu
HONORA imesema kampuni mama ya Tigo haikuwa mmiliki Wakati Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anashambuliwa
----
Dar es Salaam. Kampuni ya Honora Tanzania Public Limited Company ("TIGO") imejitenga na taarifa za kuvujisha taarifa za simu za Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, ikisema kampuni mama ya sasa ya Tigo haikuwa mmiliki wake wakati tukio lililoripotiwa.
Taarifa hiyo inatokana na kesi inayoendelea nchini Uingereza kati ya Kampuni ya Millicom iliyokuwa ikimiliki Tigo na aliyekuwa mfanyakazi wake, Michael Clifford ambaye sasa amefukuzwa kazi.
Kwa mujibu wa Gazeti la The Guardian la Uingereza la Septemba 24, 2024, Clifford aliwasilisha maelezo yake katika mahakama ya London kuwa, chanzo cha kufukuzwa kwake ni kutoa ripoti ya jinsi kampuni hiyo ilivyotoa taarifa za mawasiliano ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu.
Lissu alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 akiwa kwenye gari lake alipokuwa akielekea kwenye makazi yake baada ya kuhudhuria vikao vya Bunge jijini Dodoma.
Taarifa iliyotolewa la Honora Tanzania Public Limited Company leo Septemba 26, 2024 imeleza kutambua taarifa ya kesi inayoendelea nchini Uingereza ya ajira katika mahakama ya London inayomhusisha mfanyakazi wa zamani wa Millicom, kampuni mama ya Tigo hadi mwaka 2022.
Soma Pia:
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
“Kampuni mama ya sasa ya Tigo haikuwa mmiliki wake wakati tukio lililoripotiwa lilipotokea,” imesema taarifa hiyo.
Imesema japo hawawezi kutoa maoni kuhusu undani wa kesi hiyo kwa kuwa hawahusiki moja kwa moja, bali wanahakikisha ulinzi wa taarifa za wateja wao.
“Tunataka kuwahakikishia wateja wetu na wadau wetu kwamba kulinda data zao binafsi kwa kuzingatia sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bado ni kipaumbele chetu kikuu,” imesema taarifa hiyo.”
Chanzo: Mwananchi
Unajaza server bure,unatiririka uharo!Lissu akishawachota wafuasi wa CDM uwa awataki kusikia lolote.
Kwanza mzungu hajawai kuwa mwajiri wa TiGO Tanzania na wala hana ugomvi nao. Yeye alikuwa ni mwajiriwa wa Millicom U.K. LTD ndio maana ana mgogoro na kesi ipo kwenye employment tribunal huko kwao.
TiGO Tanzania awakutoa info bure bure isipokuwa kuna agent ya serikali ilitaka ipewe info za mteja (sasa kama walitumia sheria au la) maelezo hayo hakuna.
Mlolongo wote wa mzozo wao baina ya mzungu na mwajiri ilikuwa kuzuia kutaka nchi husika na mwanasiasa ambae communication zake zilikuwa zinapelekwa serikalini (Lakini si kwamba walikuwa wana track movement zake).
By now hiyo nchi inajulikana ni Tanzania na mwanasiasa mwenyewe ni Lissu. Waliobaki labda ni government agency na manager wa TiGO wa wakati huo.
It was just common sense kampuni ya simu aiwezi toa info za wateja wake kirahisi rahisi tu. Lissu tu na Amsterdam kukuza mambo.
Na kama Millicom walishauza TiGO ndio kabisa, labda na wenyewe hakina Lissu wakaishitaki hiyo Millicom.
Kwa Prof Juma hilo lilitegemewaTundu Lissu tokea juzi yeye anaona $$ signs, lakini mambo siyo rahisi kihivyo na hashindi hilo ni uhakika. Itaishia kama Eric Kabendera v. Vodacom.
Mifano mfu!Kampuni ikiuzwa hujui kuwa management hubadilika? Mfano unenunua nyumba yenye wapangaji kwa hiyo mwenye nyumba anatakiwa kuendelea na cheo chake cha kukusanya kodi kwa wapangaji?
Pole yao kesi ipo kwa wenye dunia huko hilo wanalo..View attachment 3107414Tigo wajitenga na sakata la kuvuja taarifa za Lissu
Kampuni ya Honora Tanzania Public Limited Company ("TIGO") imejitenga na taarifa za kuvujisha taarifa za simu za Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, ikisema kampuni mama ya sasa ya...www.mwananchi.co.tz
Waliuziana bei gani, na serekali ilipata kodi yake stahiki? Kwenye mauziano walikubaliana kufuta taarifa za nyuma?Kampuni ya TIGO imesema haihusiki na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Antipas Lisu
HONORA imesema kampuni mama ya Tigo haikuwa mmiliki Wakati Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anashambuliwa
----
Dar es Salaam. Kampuni ya Honora Tanzania Public Limited Company ("TIGO") imejitenga na taarifa za kuvujisha taarifa za simu za Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, ikisema kampuni mama ya sasa ya Tigo haikuwa mmiliki wake wakati tukio lililoripotiwa.
Taarifa hiyo inatokana na kesi inayoendelea nchini Uingereza kati ya Kampuni ya Millicom iliyokuwa ikimiliki Tigo na aliyekuwa mfanyakazi wake, Michael Clifford ambaye sasa amefukuzwa kazi.
Kwa mujibu wa Gazeti la The Guardian la Uingereza la Septemba 24, 2024, Clifford aliwasilisha maelezo yake katika mahakama ya London kuwa, chanzo cha kufukuzwa kwake ni kutoa ripoti ya jinsi kampuni hiyo ilivyotoa taarifa za mawasiliano ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu.
Lissu alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 akiwa kwenye gari lake alipokuwa akielekea kwenye makazi yake baada ya kuhudhuria vikao vya Bunge jijini Dodoma.
Taarifa iliyotolewa la Honora Tanzania Public Limited Company leo Septemba 26, 2024 imeleza kutambua taarifa ya kesi inayoendelea nchini Uingereza ya ajira katika mahakama ya London inayomhusisha mfanyakazi wa zamani wa Millicom, kampuni mama ya Tigo hadi mwaka 2022.
Soma Pia:
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
“Kampuni mama ya sasa ya Tigo haikuwa mmiliki wake wakati tukio lililoripotiwa lilipotokea,” imesema taarifa hiyo.
Imesema japo hawawezi kutoa maoni kuhusu undani wa kesi hiyo kwa kuwa hawahusiki moja kwa moja, bali wanahakikisha ulinzi wa taarifa za wateja wao.
“Tunataka kuwahakikishia wateja wetu na wadau wetu kwamba kulinda data zao binafsi kwa kuzingatia sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bado ni kipaumbele chetu kikuu,” imesema taarifa hiyo.”
Chanzo: Mwananchi
Licha ya kupost pdf content zake hujazielewa au umejazwa ushabiki, TIGO kama kampuni imekufa au ipo? Kubadilishwa kwa wamiliki kunafuta makosa yaliyofanywa na kampuni?funfua pdf hizo achana na tetesi
Management ikibadilika haimaanishi kuwa data zinafutwa. Vinginevyo pesa za watu kwenye tigo pesa zingepotea.Kampuni ikiuzwa hujui kuwa management hubadilika? Mfano unenunua nyumba yenye wapangaji kwa hiyo mwenye nyumba anatakiwa kuendelea na cheo chake cha kukusanya kodi kwa wapangaji?
Kwenye kesi ya Mbowe walifika mahakamani kutoa ushahidi. Tigo ni wahuni hawafaiView attachment 3107414Tigo wajitenga na sakata la kuvuja taarifa za Lissu
Kampuni ya Honora Tanzania Public Limited Company ("TIGO") imejitenga na taarifa za kuvujisha taarifa za simu za Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, ikisema kampuni mama ya sasa ya...www.mwananchi.co.tz
Hujaelewa au umekurupuka, millicon iliuza share zake Tanzania lakini iliendelea kubaki ikifanya biashara LatinAmerica, kwa hiyo iliyokuwa inapinga kesi kusikilizwa open court ni kampuni gani?Kampuni ikiuzwa hujui kuwa management hubadilika? Mfano unenunua nyumba yenye wapangaji kwa hiyo mwenye nyumba anatakiwa kuendelea na cheo chake cha kukusanya kodi kwa wapangaji?
athari na matatizo ya mbwembwe na ujuaji mwingi kwenye masuala serious zimeanza kujitokeza..Kampuni ya TIGO imesema haihusiki na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Antipas Lisu
HONORA imesema kampuni mama ya Tigo haikuwa mmiliki Wakati Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anashambuliwa
----
Dar es Salaam. Kampuni ya Honora Tanzania Public Limited Company ("TIGO") imejitenga na taarifa za kuvujisha taarifa za simu za Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, ikisema kampuni mama ya sasa ya Tigo haikuwa mmiliki wake wakati tukio lililoripotiwa.
Taarifa hiyo inatokana na kesi inayoendelea nchini Uingereza kati ya Kampuni ya Millicom iliyokuwa ikimiliki Tigo na aliyekuwa mfanyakazi wake, Michael Clifford ambaye sasa amefukuzwa kazi.
Kwa mujibu wa Gazeti la The Guardian la Uingereza la Septemba 24, 2024, Clifford aliwasilisha maelezo yake katika mahakama ya London kuwa, chanzo cha kufukuzwa kwake ni kutoa ripoti ya jinsi kampuni hiyo ilivyotoa taarifa za mawasiliano ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu.
Lissu alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 akiwa kwenye gari lake alipokuwa akielekea kwenye makazi yake baada ya kuhudhuria vikao vya Bunge jijini Dodoma.
Taarifa iliyotolewa la Honora Tanzania Public Limited Company leo Septemba 26, 2024 imeleza kutambua taarifa ya kesi inayoendelea nchini Uingereza ya ajira katika mahakama ya London inayomhusisha mfanyakazi wa zamani wa Millicom, kampuni mama ya Tigo hadi mwaka 2022.
Soma Pia:
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
“Kampuni mama ya sasa ya Tigo haikuwa mmiliki wake wakati tukio lililoripotiwa lilipotokea,” imesema taarifa hiyo.
Imesema japo hawawezi kutoa maoni kuhusu undani wa kesi hiyo kwa kuwa hawahusiki moja kwa moja, bali wanahakikisha ulinzi wa taarifa za wateja wao.
“Tunataka kuwahakikishia wateja wetu na wadau wetu kwamba kulinda data zao binafsi kwa kuzingatia sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bado ni kipaumbele chetu kikuu,” imesema taarifa hiyo.”
Chanzo: Mwananchi
Tundu Lissu alisema "wamepata pa kuanzia" kuwajua wasiojulikana....KESI NI NGUMU SANA HII KWA UPANDE WA LISSU.
Tatizo linapokuja ni kwamba walioshitakiwa ni Millicom sio Tigo (Nimeatanisha attachments)
Taarifa za Lissu zilivuja kipindi ambacho kampuni mama inayomiliki Tigo ni "Millicom International Cellular public limited company"
Kuanzia mwaka 2022 kampuni mama mpya ni "Honora Tanzania Public Limited company"
Honora wataendelea kujibanza kwenye angle ya kumshinikiza Lissu aendelee kuwashtaki Millicom aliowafungulia kesi.inavyoonekana Millicom walivyoona ngoma inakaribia kupasuka wakaondoka mwaka 2022
Lissu ilibidi awashtaki Tigo kwasababu hata kampuni mama ikibadilika angeendelea kuwashtaki Tigo.
Halafu wakawa wanatoa ushahidi ukifuatiliwa ni wa kupangwa kabisa. Inshort Tigo imetumika sana na serekali kuendesha uovu hapa nchini.Kwenye kesi ya Mbowe walifika mahakamani kutoa ushahidi. Tigo ni wahuni hawafai
Tigo Lisu haijui vizuriTundu Lissu alisema "wamepata pa kuanzia" kuwajua wasiojulikana....
Hii maana yake ni kuwa, mawakili wake na wataalamu wabobezi wa sheria za biashara wata explore angles zote...
Kwa hiyo, wao wakae na watulie tuli. Ikifika wakati wao wa kujibu tuhuma hizi, watakwenda kujieleza London kwenye mahakama ya Jaji hawezi kupigiwa simu na Ikulu ya Magogoni DSM apindishe haki na hukumu...
Sisi hatuna shida na TIGO at first place...Tigo Lisu haijui vizuri
Millicom International Cellular has finalised the sale of its Tanzanian unit to finish off its multi-year divestment plan from Africa, a move to exclusively focus on Latin American markets.
Millicom announced the sale of Tigo Tanzania to pan-African group Axian in April last year for an undisclosed fee, however, the group has now revealed it will receive net cash of around $100m. Axian will take on Millicom's debts and other obligations in the unit.
Millicom chief executive Mauricio Ramos said: “With today’s announcement that we have completed the divestiture of our African businesses, we close a chapter in our history and open another solely focused on the Latin American region.”
The group also sold off shares in its Ghana joint venture with Bharti Airtel to the government last year, which has taken sole control of Airtel Tigo. It also previously had operations in Chad, the Democratic Republic of Congo, Mauritius, Rwanda and Senegal.
Millicom has ramped up its investments in Latin America, including the expansion of its fixed broadband network to over 20 million.
It will also spin off its fintech Tigo Money unit and portfolio of towers into separate companies. The company has earmarked financial technologies as a key growth driver with an estimated $14 billion in market opportunity in Latin America.
In Guatemala, Millicom assumed full control of a joint venture from a local partner for US$2.2 billion.
Tigo imeshiriki kukatisha uhai wa Watanzania wengi.Halafu wakawa wanatoa ushahidi ukifuatiliwa ni wa kupangwa kabisa. Inshort Tigo imetumika sana na serekali kuendesha uovu hapa nchini.
Huu ni ukweli wa dhahiri.Tigo imeshiriki kukatisha uhai wa Watanzania wengi.
Hizo kesi za kimataifa ngumu mno angalia huu mlolongo hapa kuna mambo kibao hata huyo aliyeshtaki uingereza hajuiSisi hatuna shida na TIGO at first place...
Tuna shida na "wasiojulikana" waliopanga ugaidi wa kumuua Tundu Lissu wakisaidiwa na kampuni ya mawasiliano ya simu ya TIGO, wajulikane...!
TIGO is an accomplice and facilitator of terrorism against humanity...