tiGO wajitenga na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Lissu. Wasema mmiliki wa sasa ni mwingine si yule wa nyakati za shambulio!

Mnanikumbusha kuhusu kufukua makaburi
 
Kwa hiyo kinachoendelea mahakamani ni "kesi hewa......?"

Nini logic yako ya ku repost mara kwa mara hii scam message yako...?
 
Iko na bado inaanya biashara America kusini, ndio maana wako mahakamani London wakijibu kesi yao
 
“Tunataka kuwahakikishia wateja wetu na wadau wetu kwamba kulinda data zao binafsi kwa
A
sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bado ni kipaumbele chetu kikuu,” imesema taarifa hiyo.”

Chanzo: Mwananchi
Hapo kwenye"sheria na kanuni za serikali" (ya CCM) ndipo shida inapoanza.
 
Ukinunua kampuni unachukua
1.madeni
2.mali
Ili tigo wathibitishe hawakurithi madeni watoe hati ya kufirisika ilofuata taratibu
Ukinunua kampuni
 
Ukinunua kampuni unachukua
1.madeni
2.mali
Ili tigo wathibitishe hawakurithi madeni watoe hati ya kufirisika ilofuata taratibu

Ukinunua kampuni
Swali fikirishi je Ukikamatwa na mali ya wizi, kifuatacho ni nini
 
Unaponunua kampuni ukikutana na madeni au malipo utayakataa? Nini maana ya due diligence? Tunawaunganisha wote then wataenda kuongea huko kwa pilato.
 
Unaongea nn Bush lawyer? Mara Tigo IPO mara haipo
Kwahiyo honoruru walinunua brand name bila severs, wafanyakazi au wateja?
Kama honoruru walinunua brand name Ina maana hata madeni waliyokuwa wananidai sikupaswa kulipa.si hawakuninunua
 
Wako sahihi kujisafisha kwa wateja ila kesi iko palepale
 
Millicom ni kampuni kubwa sana bwashee kama DP World 😃
 
Millicom ni kampuni kubwa sana bwashee kama DP World 😃
ni kweli,
inawezakua ilishahitimisha au ilishabadili kazi, malengo na wajibu wake kitambo sana pia,

ni muhimu kujiridhisha vya kutosha kuliko kumbwelambwela kwamba iko hivi na vile kwenye media na social media kuna kuumbuka baadae kwasababu tu ya kujihesabia haki kabla ya hukumu 🐒
 
Tundu Lisu: Tumepata pa kuanzia

Mbona unaogopa sana bwashee 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…