Kwa mjinga kama wewe kusema kitu usichokifahamu na kuamini na kutaka kukiamini ni kawaida. Ila nilifikiria nazungumza na mtu mzima mwenye akili timamu kumbe ni kitoto kijuha.sasa mbona umepanic kama kweli wewe sio mshirikina gentleman?🤣
sasa si awaumbue tumuone chairman atakavyo chekelea kama sio kuumbuka...
una simu nzuuuri kumbe mfukoni una hirizi, lione chawi hilo 🤣
Kampuni ya TIGO imesema haihusiki na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Antipas Lisu
HONORA imesema kampuni mama ya Tigo haikuwa mmiliki Wakati Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anashambuliwa
----
Dar es Salaam. Kampuni ya Honora Tanzania Public Limited Company ("TIGO") imejitenga na taarifa za kuvujisha taarifa za simu za Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, ikisema kampuni mama ya sasa ya Tigo haikuwa mmiliki wake wakati tukio lililoripotiwa.
Taarifa hiyo inatokana na kesi inayoendelea nchini Uingereza kati ya Kampuni ya Millicom iliyokuwa ikimiliki Tigo na aliyekuwa mfanyakazi wake, Michael Clifford ambaye sasa amefukuzwa kazi.
Kwa mujibu wa Gazeti la The Guardian la Uingereza la Septemba 24, 2024, Clifford aliwasilisha maelezo yake katika mahakama ya London kuwa, chanzo cha kufukuzwa kwake ni kutoa ripoti ya jinsi kampuni hiyo ilivyotoa taarifa za mawasiliano ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu.
Lissu alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 akiwa kwenye gari lake alipokuwa akielekea kwenye makazi yake baada ya kuhudhuria vikao vya Bunge jijini Dodoma.
Taarifa iliyotolewa la Honora Tanzania Public Limited Company leo Septemba 26, 2024 imeleza kutambua taarifa ya kesi inayoendelea nchini Uingereza ya ajira katika mahakama ya London inayomhusisha mfanyakazi wa zamani wa Millicom, kampuni mama ya Tigo hadi mwaka 2022.
Soma Pia:
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
“Kampuni mama ya sasa ya Tigo haikuwa mmiliki wake wakati tukio lililoripotiwa lilipotokea,” imesema taarifa hiyo.
Imesema japo hawawezi kutoa maoni kuhusu undani wa kesi hiyo kwa kuwa hawahusiki moja kwa moja, bali wanahakikisha ulinzi wa taarifa za wateja wao.
“Tunataka kuwahakikishia wateja wetu na wadau wetu kwamba kulinda data zao binafsi kwa kuzingatia sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bado ni kipaumbele chetu kikuu,” imesema taarifa hiyo.”
Chanzo: Mwananchi
Hawa huwa wanabadili majina. Ila huwa ni walewale"Honora Tanzania Public Limited company"

Matangazo yote na hata ukiweka laini yao haitaji neno HONORA muulize mteja yeyote kama atasema ana laini ya HONORA. Msituchanganye. Usajili wa laini ni TIGO. Siku ikifika mmiliki atajulikana tu.Kampuni ya TIGO imesema haihusiki na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Antipas Lisu

Matangazo yao na mabango yao mpaka kwenye tv mpaka Marinyi wanajua Tigo wamelikana lini hilo jina? Itafahamika tu.Tigo sio kampuni. Ni jina tu limekaa mbele
Tigo hawataweza kujitenga na kashfa hiyo mbaya kwani hiyo ndio michezo yao ambayo wamekuwa wakiicheza miaka yote kabisa ya uhai wa kampuni hiyo ya Tigo. Mimi mwenyewe binafsi ninayeandika maoni haya hapa mtandaoni ni mojawapo wa wahanga wa vitendo viovu ambavyo vimewahi kufanywa na kampuni ya Tigo. Kampuni ya Tigo (i.e Tigo Service Provider) imewahi kushiriki mara nyingi Sana kunifanyia mashambulizi mbalimbali ya kimtandao, mara nyingi Sana nimewahi kutoa madai ya namna hii humu mtandaoni kuhusu suala hili kabla hata ya kuibuka kwa sakata hili linaloendelea hivi Sasa.Kampuni ya TIGO imesema haihusiki na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Antipas Lisu
HONORA imesema kampuni mama ya Tigo haikuwa mmiliki Wakati Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anashambuliwa
----
Dar es Salaam. Kampuni ya Honora Tanzania Public Limited Company ("TIGO") imejitenga na taarifa za kuvujisha taarifa za simu za Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, ikisema kampuni mama ya sasa ya Tigo haikuwa mmiliki wake wakati tukio lililoripotiwa.
Taarifa hiyo inatokana na kesi inayoendelea nchini Uingereza kati ya Kampuni ya Millicom iliyokuwa ikimiliki Tigo na aliyekuwa mfanyakazi wake, Michael Clifford ambaye sasa amefukuzwa kazi.
Kwa mujibu wa Gazeti la The Guardian la Uingereza la Septemba 24, 2024, Clifford aliwasilisha maelezo yake katika mahakama ya London kuwa, chanzo cha kufukuzwa kwake ni kutoa ripoti ya jinsi kampuni hiyo ilivyotoa taarifa za mawasiliano ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu.
Lissu alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 akiwa kwenye gari lake alipokuwa akielekea kwenye makazi yake baada ya kuhudhuria vikao vya Bunge jijini Dodoma.
Taarifa iliyotolewa la Honora Tanzania Public Limited Company leo Septemba 26, 2024 imeleza kutambua taarifa ya kesi inayoendelea nchini Uingereza ya ajira katika mahakama ya London inayomhusisha mfanyakazi wa zamani wa Millicom, kampuni mama ya Tigo hadi mwaka 2022.
Soma Pia:
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
“Kampuni mama ya sasa ya Tigo haikuwa mmiliki wake wakati tukio lililoripotiwa lilipotokea,” imesema taarifa hiyo.
Imesema japo hawawezi kutoa maoni kuhusu undani wa kesi hiyo kwa kuwa hawahusiki moja kwa moja, bali wanahakikisha ulinzi wa taarifa za wateja wao.
“Tunataka kuwahakikishia wateja wetu na wadau wetu kwamba kulinda data zao binafsi kwa kuzingatia sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bado ni kipaumbele chetu kikuu,” imesema taarifa hiyo.”
Chanzo: Mwananchi
Na wapo watakaosema hivyo Kaa kwa kutuliaNi sawa na kusema serikali ijitenge kwa sababu ilikuwa ni awamu ya tano, na hii ni ya sita!
Na haitakua na rufaaHii kesi Ushindi kwa Lisu uko wazi
Hakuna kesi hapo
Uko sahihi nadhani hizo details anazo, (mwanasheria wake)ni kweli,
inawezakua ilishahitimisha au ilishabadili kazi, malengo na wajibu wake kitambo sana pia,
ni muhimu kujiridhisha vya kutosha kuliko kumbwelambwela kwamba iko hivi na vile kwenye media na social media kuna kuumbuka baadae kwasababu tu ya kujihesabia haki kabla ya hukumu 🐒
Amabao hamjasoma sheria hu mkiona kitu kinasemwa unaomba vifungu vya sheria.Lete vifungu vya Sheria
Umezungmza vitu viwili tofauti hadi hapo Merger na Transfer of share ni two different things.hakuna kampuni inanunua kesi kwa sababu uwezi kumerg kampuni kama ina kesi,