Tigo wamenitukana kwa SMS hamsini! Sitavumilia

Tigo wamenitukana kwa SMS hamsini! Sitavumilia

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Upuuzi mtupu, Jaza Ujazwe ujinga mtupu, niweke airtime ya Tzs. 50,000/= nikaambulia meseji hamsini eti ndio nimejazwa!!! Tigo mnitake radhi kwa ujinga huu
Screenshot_2017-07-01-21-41-50.png
 
Weka SMS ya voucher to balance la sivyo furahia ujazo
 
Hiyo ni offer mkuu , au ulijaza ili ujazwe
 
Hawa Tigo wanavifurushi vya kijinga sana.
 
Upo vizuri mkuu vocha ya 50,000/= nadhani unajiunga kifurushi kikubwa
 
Ulitaka ujazwe kiasi gani



Lkn pia nirahisi tu hutaki kujazwa usijaze
 
Back
Top Bottom