Tigo wamepunguza tena kifurushi cha internet

Tigo wamepunguza tena kifurushi cha internet

Ilikua wiki MB 1600 kwa elfu 3 sasa ni MB 1400 kwa elfu 3.

Mwanzoni kabisa elfu 3 ilikua unapata MB 2500
Hawa dawa yao ni kutafuta mtu kama Albert Einstein kuweza kubuni programme ya kuangalia kila kitu bure bila wenye MB zao kujua!😀😀😀😀😀😀
 
Hii sio necessity goods or service, ukiona vipi acha, kwani utakufa?
U clumsy little fool. Ata hujui umuhimu wa internet? Wajinga kama nyie ndio mnaaibisha taifa. Muulize dadaako umuhimu wa internet kwa sababu anauza vitumbua online
 
Back
Top Bottom