Tigo wamepunguza tena kifurushi cha internet

Ilikua wiki MB 1600 kwa elfu 3 sasa ni MB 1400 kwa elfu 3.

Mwanzoni kabisa elfu 3 ilikua unapata MB 2500
Hii sio necessity goods or service, ukiona vipi acha, kwani utakufa?
 
Ilikua wiki MB 1600 kwa elfu 3 sasa ni MB 1400 kwa elfu 3.

Mwanzoni kabisa elfu 3 ilikua unapata MB 2500
Hawa dawa yao ni kutafuta mtu kama Albert Einstein kuweza kubuni programme ya kuangalia kila kitu bure bila wenye MB zao kujua!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii sio necessity goods or service, ukiona vipi acha, kwani utakufa?
U clumsy little fool. Ata hujui umuhimu wa internet? Wajinga kama nyie ndio mnaaibisha taifa. Muulize dadaako umuhimu wa internet kwa sababu anauza vitumbua online
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…