Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Baki huko-huko TTCL mnapoambiana kumenoga.Mkuu tueleze hicho ni kifurushi gani na tunajiungaje... wengine tuliwahama hao jamaa muda mrefu sana hadi ''menyu zao'' tumezisahau
*147*00# utachagua huduma namba moja
Kwangu hipo hivi.
Boniphace Kichonge mbona me kwangu sipati hii kitu, unapiga *147*00?
Ni kweli Kabisaa, kwangu ni Tsh 3000Mkuu hiyo ni saizi yako wanaweza kuwapa wateja 20 tu na wengine wote ni panga kwa kwenda mbele. Ni mapema mno kuwasifia.
Boniphace Kichonge mbona me kwangu sipati hii kitu, unapiga *147*00?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana... kwa kweli ubarikiwe... sana