Tigo wamerejea kwenye ufahari wao

Hivi kwa nini hawa Tigo na hata makampuni mengine wasifikirie kuweka hata vifurushi vya wiki mbili, miezi miwili na miezi mitatu na badala yake wameng'ang'ania vifurushi vya siku moja, wiki na mwezi mmoja tu? Wangefikiria na hilo naamini itakuwa poa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…