Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,866
- 1,076
TIGO Tanzania, juzi wakati namuhamishia dogo salio (siyo kifurushi na wala siyo pesa) ili yeye sasa ajiunge na kifurushi akitakacho,
On the process kufikia mwishoni baada ya kuweka amount (angalia picha) naletewa ujumbe wa kwanba mtumiwaji atakatwa 3% ya amount nitakayomtumia.
WHY IS THIS 3%?, WHY!!? inakatwa ya nini on the transfer, wakati mtu huyo bado anakatwa kodi?
Ni sawa na kununua vocha dukani then nikatwe 3%, hii tuiteje?, hii mna discourage watu wanaonunua salio thru mobile transfers.
Mobile transfers imewaletea faida kubwa, kwani imewapunguzia zile gharqma za commissions ambazo huwa mnawalipa mawakala/wauzaji wa vocha zenu, mfano mimi nina miaka mingi sijawahi nunua vocha za karatasi/kukwangua.
Kumbukeni hii siyo pesa, sasa mnapokata salio sijajua mnakata kwa utaratibu upi, yaani salio ninunue mimi then nyie mlikate, salio ni consumables, so mkikata mnapeleka wapi?.
@mods naomba mui share hii kwa wahusika niliowataja, tena kule Instagram, X na Fb ili tupate majibu