Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa mkuu, sikuhizi vijana wengi wanapenda tigo.Ni kwa sababu vijana wengi wanatumia tigo hivyo ni lazima uhusishe matendo mengi ya vijana
Ttcl wahuni hili shirika lilikuwa enzi za jpm ila kwa sasa noncense tuReport ya Quarter ya 3 ya mwaka 2022/2023 yaonesha Tigo kinara simu za kitapeli
yaonesha pia TTCL kushuka sana kimapato na internate penetration View attachment 2600174
Sababu tuma hela Wana akili kuliko TCRANilitalajia TCRA watowe majibu tumesajili line zetu kwa biometric finger print, ni kwa nini Utapeli wa Tuma ela kwenye namba hii ndio unaongezeka?
Hata enzi za Magufuli halikuwa na kitu kwani walikuwa wanatoa gawio hewa ili kufanya propaganda. Mambo yaliyokuwa yanafanyika kipindi cha Magufuli mengi yalijaa propaganda.Ttcl wahuni hili shirika lilikuwa enzi za jpm ila kwa sasa noncense tu
Shirika kwa mlango wa nyuma linajifia.Hata enzi za Magufuli halikuwa na kitu kwani walikuwa wanatoa gawio hewa ili kufanya propaganda. Mambo yaliyokuwa yanafanyika kipindi cha Magufuli mengi yalijaa propaganda.