WirelessBrain
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 980
- 1,350
Kweli hawa wasanii nyimbo zenyewe zipi za kulipwa mapesa yote hayo,sana sana thamani ya nyimbo hizo haifiki hata laki ya kibongo
Wewe layman unaweza kupima thamani halisi ya nyimbo?Kweli hawa wasanii nyimbo zenyewe zipi za kulipwa mapesa yote hayo,sana sana thamani ya nyimbo hizo haifiki hata laki ya kibongo