Tigopesa mna shida Gani? Huu sasa ni ujinga

Tigopesa mna shida Gani? Huu sasa ni ujinga

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Karibia week nzima kila nikituma pesa mara inakubali mara inakataa mara huku inaonyesha muamala umeshindikana, ukituma tena unajikuta umetuma mara mbili.

Huu ujinga unakera Sana saaana Tigo mnakera mnooooooo. Tangu saa kumi natuma pesa inagoma aiseee
Screenshot_2024-08-15-20-15-48-358_com.google.android.apps.messaging.jpg
 
Back
Top Bottom