Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mtandao wamatajiri.. Hauna kufeliHamia Vodacom ni balaa.. no kukwama
Makubwa tena haya, najua unataka ujue salio.....ongeza salio
Vodacom nipo huko, kuko vizuri sanaMtandao wamatajiri.. Hauna kufeli
Dadeeeeeeeeeeeeki ilishanitokea hii, nikaitikia kinyonge saanaIla si inakuheshimisha....we ukiombwa buku ten,Unatuma mara mbili
Hapo asante Kama zote
Hili halina ubishiMtandao wa uhakika ni voda tu, kuanzia transactions mpaka internet!