Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
AiseeeeeeeKwa wapenzi wa tik tok mtaandao onao post video za joking na action serious fun unaotumiwa hasa indian ,kenya na Tanzania kwa wachache wao
Tatizo lake mmoja tu ukitaka kufaidi usiwe unaweka bando za chispi kama anazouza Zero IQ
Nenda play store utaikuta na we uenjoy video zao tu ni mwendo wa slid up au ku pop up
Mkuu ngoja nami niwacheck
Nimeona mbona sio fun kivile wanamatukio ila sio kivile