Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kama tiketi 62,000 zote zimeisha na wamenunua waarabu wenyewe, najiuliza hawa mashabiki wa Utopolo watapata wap tiketi za kuingia uwanjani kesho, ninazo taarifa kuwa nje ya uwanja kutakuwa na TV, hivyo watashangilia wakiwa nje ya uwanja au watasuburia fungulia mbwa ndio waingie, hakukuwa na faida kwenda huko wakati gemu mnaiangalia kwenye TV.
USM Algeria 2 Yanga 0, Mark my words
USM Algeria 2 Yanga 0, Mark my words