Tiketi 62,000 zimeisha huko Algeria, mashabiki wa Utopolo waliokwenda Algeria kuangalia kwenye TV

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kama tiketi 62,000 zote zimeisha na wamenunua waarabu wenyewe, najiuliza hawa mashabiki wa Utopolo watapata wap tiketi za kuingia uwanjani kesho, ninazo taarifa kuwa nje ya uwanja kutakuwa na TV, hivyo watashangilia wakiwa nje ya uwanja au watasuburia fungulia mbwa ndio waingie, hakukuwa na faida kwenda huko wakati gemu mnaiangalia kwenye TV.

USM Algeria 2 Yanga 0, Mark my words
 
Mkuu najua huwa kuna tiketi zinatengwa kwa timu mgeni hivyo tiketi watapata tu, lakini kukandwa kupo palepale🤣
 
Hiyo ni mechi ya fainali lazima kuna tiketi kwa ajili ya timu zote. Umeanza lini kufuatilia mpira?
 
Kuna vyura wamelowa tope bado wanaota wanaenda pindua meza bladifakeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna vyura wamelowa tope bado wanaota wanaenda pindua meza bladifakeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi wewe Raja alivyokutafuna kitobo hukwenda Morocco?.
 
Stadium capacity ni watu 17,000.

Hizo tickets za watu 63,000 zimetoka wapi..?
 
Kikubwa ndege irudi kama walivyoichukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…