Tiketi haziuziki mechi ya Simba

Mimi mwenyewe siendi na naombea tufungwe. Nimekerwa viongozi kugoma kuwajibika, wakaishia kumwajibisha kocha pekee. Wao madudu yao hawayaoni? Jumamosi ndo watatuelewa sisi ni akina nani.
huna akili kwaio timu kufungwa unataka viongozi waondoke ili upewe wewe timu au huna hela kaa nyumban ucheze nashemej yako
 

Zinakaribia kuisha
 
Kikubwa mshinde ili kurudisha imani ya mashabiki
Heshima mbona ipo pale pale, mimi ni shabiki naishabikia team muda wote. Shabiki anayerudigi nyuma mara nyingi huwa ni malaya tu wa ushabiki, na hao mashabiki wa hivyo wapo wengi sana hapa jf, mtoa mada ni mmoja wao.
 
Wazee wa Sold out za mchongo safari wameona haya kudanganya
 
Mimi nataman wajinga waende uwanjan alafu timu ipigwe mbele yao.
Hatutaki kulia Lia mara fulan kauza mechi Mara wachezaj hawajitumi.mara mangungu out sijui try out.
Watu wasema Sana hii timu inaendeshwa kihun viongoz wapo kimaslah na wanaopaswa kuleta heshima ni mashabik kwa kugomea kwenda uwanjan ,shabik akigoma viongoz watakua na nidhamu kuanzia kisajil ,kulipa posho kwa wachezaj ttena kwa wakati.

Sasa wanafanya upuuz huo na mashabik viande bado wamo tu kuhangaika taifa.
Ivi majumban mwenu hamna tv mkakaa muangalizie makwenu ili viongoz wajitathimin?

Mkikataa kwenda mechi hata mbili tu lazima atajisalimisha tu na kukir upumbavu wao .

Kingoz gan hataki kujiuzuru jua anapambania tumbo lake .
Ajiuzuru amwachie Nani ten percent kwa wachezaj wanaowasajir kwa kuokoteza?
 
huna akili kwaio timu kufungwa unataka viongozi waondoke ili upewe wewe timu au huna hela kaa nyumban ucheze nashemej yako
We kenge wa kijivu, nimesema SIENDI hivyo usinipigie kelele kwa uamuzi wangu mwenyewe. Na hata hao wengine wanaosema HAWAENDI wanasimamia misimamo yao binafsi. Wewe nenda ukakae kwenye jukwaa tupu, seat zipo mpaka za kukalisha chupa zako za soda na maji.
 
Mbona kama unaumia Sana ,, Wenye Simba yetu hatujasusia timu. Sisi siyo mashabiki maandazi eti tushindwe kusapoti timu Kwa kufungwa na utopolo Tena Kwa ulozi wao. Tunaendelea kununua ticket nenda kwenye vituo kashuhudie acha kupiga ramli za jangwani.
Tumeanza SOLD OUT ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…