Tiketi ni halali kwa yupi, mtoa huduma ama anae-hudumiwa?

Tiketi ni halali kwa yupi, mtoa huduma ama anae-hudumiwa?

Franks

New Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Nimelazimika kuuliza hivi kwa sababu ya changamoto za hapa na pale za kila siku, mfano ukinunua bidhaa dai risiti ukiuza dai risiti kwa mujibu wa TRA! Mara nyingi nimekumbana na adha ya maana halisi ya tiketi mfano mara nyingi tiketi zinazotolewa na wakala wa usafiri wa treni hasa dar hurudishwa pind unaposhuka tu! ,ilinlazim siku moja kubaki nayo nikiwa na maana ya kua nishailipia na hivo ni halali kua nayo kama ilivo katika daladala zetu za hpa mjini, cha ajabu walinlazimisha kuirudisha lakin baada ya ubishani waliniachia. Hivo wana JF ikanlazim kuleta jambo hili kwa usaidizi zaidi.
 
Back
Top Bottom