Igabiro
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 242
- 27
Kulikuwa na utaratibu wa kuuza ticket za mechi ambazo zinachezwa uwanja mpya wa taifa maeneo mbalimbali town, lakini tangu viingilio vipunguzwe ili kukidhi maisha halisi ya mtanzania, ticket sasa zinauzwa siku ya mechi tu tena uwanjani, kwa hiyo kunakuwa na foleni kubwa sana ya ticket hasa wale wenzangu na mimi wa shilingi elfu. Sasa nilitaka kujua ili ticket ziuzwe mjini mpaka ziwe za bei ya kifisadii tu?