godson njamakuya
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 170
- 196
Nimesikia kwamba utaratibu wa kutumia tiketi za kielektroniki umeanza rasmi tarehe ya leo. Tunaambiwa tukate tiketi ya Bus husika online, tunatambua sio Kampuni zote za Mabasi zina website sasa sijui itakuwaje. Mwenye uelewa kuhusu utaratibu huu naomba anieleweshe zaidi.